Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akisalimiana na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation na ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza akiwa miongoni mwa ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo leo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (kulia) akizungumza na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation ulipofika Ikulu Jijini Zanzibar .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe wa Taasisi ya Zanzibar Milele Foundation mara baada ya mazungumzo yao leo Ikulu Jijini Zanzibar.
[Picha na Ikulu] 30/08/2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...