Zikiwa zimebaki siku mbili kufikia like jambo letu la KITAIFA, yaani SENSA ya Watu na Makazi linalotarajiwa kufanyika nchini more Agosti 23, 2022, Katibu Mtendaji wa Baraza la Ushauri la Watumiaji Huduma za Usafiri wa Anga. TCAA-CCC, Bwana Innocent Kyara yeye yuko tayari kuhesabiwa na kutoa wito kwa wanajumuiya wote wa Baraza na Watanzania kwa ujumla kushiriki katika zoezi hilo muhimu kwa maslahi mapana ya Taifa.
Home
HABARI
SENSA YA WATU NA MAKAZI: KATIBU MTENDAJI BARAZA LA USHAURI WATUMIAJI HUDUMA ZA USAFIRI WA ANGA TCAA-CCC YUKO TAYARI KUHESABIWA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...