Timu ya Tambaza Youth Academy inayoshiriki Ligi Daraja la Tatu Mkoa wa Ilala itafanya Majaribio Kwa Wachezaji wanaotaka Kuichezea Timu hiyo Kwenye Ligi Daraja la Tatu inayotarajia kuanza Mwanzo mwa Mwezi wa Tisa .
Majaribio hayo yatafanyika katika Uwanja wa Msimbazi Rovers leo Jumatu na kesho Jumanne kuanzia Saa Nane mchana hadi saaa Kumi Jioni.
Imetolewa na Mwenye Kiti wa Tambaza Youth Academy
MWINYI MADI TAMBAZA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...