Mwanzilishi mwenza wa DLab, Mahadia Tunga akizungumza na wanafunzi wa kike kutoka shule mbalimbali nchini waliohitimu mafunzo ya Tehama yaitwayo "code like a girl" yanayolenga kuwajengea uwezo katika Tehama na kubuni tovuti, ambayo yameandaliwa na DLab Tanzania na kufadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...