
Kilichofanyika leo baada ya uzinduzi ni Watu kupasha misuli kwa michezo mbalimbali ikiwemo kukimbia kilometa tano na kumi, kukimbiza kuku, kuvuta kamba, mpira na michezo mingine ili kujiweka tayari kwa marathon ya mwaka huu ambayo inaongozwa na meneno matatu makuu ambayo ni "mwendo wa upendo"
Imetangazwa leo kwamba pesa zote zitazopatikana kwenye marathon hii zitapelekwa kuwatibu Wanawake wenye matatizo ya fistula kupitia hospitali ya CCBRT Dar es salaam ambapo tayari milango ya kujisajili imeshafunguliwa kupitia marathon. #MichuziBlog #MichuziTV #NMBMkononi #NMBBank
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...