Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akioneshwa na Mwendesha Mitambo wa kiwanda cha Jwapano Bamboo, Bw. Nicolous Nestory namna muanzi unavyoandaliwa kwa ajili ya kutengenezea vijiti vya meno ‘Toothpicks’ alipotembelea kiwanda hicho kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi, Agosti 22, 2022.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia muanzi ambao tayari umeandaliwa kwa ajili ya kutengenezea vijiti vya meno ‘Toothpicks’ alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo cha Jwapano Bamboo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi, Agosti 22, 2022.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia vijiti vya meno ‘Toothpicks’ vilivyotengenezwa na mti wa muanzi alipotembelea kiwanda cha kutengeneza bidhaa hizo Kilichopo Ruangwa Mkoani Lindi, Agosti 22, 2022. Kulia ni Mkurugenzi wa Kiwanda hicho Bw. Baraka Peneza.


Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...