Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Amos Makalla wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam Agosti 31, 2022. Kutokea nchini Tunisia alipomwakilisha Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan, kwenye Mkutano wa Kimataifa wa Wakuu wa nchi na Serikali wa Nane wa TICAD.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...