Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) Salma Jummanne akimtoa damu Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi wakati wa zoezi lililofanyika leo la uchangiaji damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa kufanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakiongozwa na Mkurugenzi wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo.
Afisa Uuguzi kutoka Mpango wa Taifa wa Damu Salama (NBTS) John Juma akimpima wingi wa damu Mkurugenzi wa Tiba Shirikishi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Dkt. Delila Kimambo wakati wa zoezi lililofanyika leo la kuchangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.
Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakichangia damu kwa ajili ya watoto wanaofanyiwa upasuaji wa moyo katika Taasisi hiyo iliyopo jijini Dar es Salaam.




Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...