Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu, akiskani alama maalumu (QR Code) ili kuweza kutoa pesa kwenye mashine ya ATM bila kutumia kadi halisi katika hafla ya uzinduzi wa huduma hiyo ya kwanza nchini jijini Dar es Salaam leo. Kulia ni Meneja Huduma za Kidigitali wa Absa, Adam Emmanuel.
Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi kwa kutumia mfumo wa (QR Code). Pichani kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Miradi, Irene Mushi, Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel Mkuyu na Meneja Huduma za Kidigitali, Adam Emmanuel.
Mkuu wa Kitengo cha Digitali na Ubora wa Huduma kwa Wateja, Samuel, akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi kwa kutumia mfumo wa (QR Code). Pichani kutoka kushoto ni, Mkuu wa Kitengo cha Miradi, Irene Mushi, Mkuyu Mkuu wa Masoko na Mawasiliano wa Benki ya Absa Tanzania, Aron Luhanga na Meneja Huduma za Kidigitali, Adam Emmanuel.
Waandishi wa habari wakiwa kazini jijini Dar es Salaam leo katika uzinduzi wa huduma ya kutoa fedha katika mashine ya ATM bila ya kuhitajika kuwa na kadi halisi mfumo wa (QR Code) ikiwa ni huduma ya kwanza kuingia katika soko la huduma za kibenki nchini.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...