Waumini wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Maandalio ya Mufindi wakishiriki Katika ibada hiyo iliyoambatana na harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa.


Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akipata maelezo juu ya maendeleo ya ujenzi wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania Dayosisi ya Maandalio ya Mufindi kutoka kwa Mchungaji Dkt. Anthony Kipangula (kushoto) wakati wa hafla ya Changizo ya Sadaka ya ukamilishaji ujenzi wa Kanisa hilo ambao Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi alikuwa mgeni rasmi na kuwezesha kuchangisha zaidi ya shilingi za Kitanzania milioni 214.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...