Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein ameongoza Kikao Maalum cha Kamati Maalum ya CCM kilichoketi Leo Septemba 20, 2022 Afisi Kuu ya CCM kisiwanduzi Zanzibar.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt Ali Mohammed Shein akiongoza Kikao Maalum cha Kamati Maalum ya CCM kilichoketi Leo Septemba 20, 2022 Afisi Kuu ya CCM kisiwanduzi Zanzibar.

WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakifuatilia Kikao hicho kikiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dkt.Ali Mohamed Shein, kilichofanyika leo 20-9-2022, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja Jijini Zanzibar. (PICHA Zote na Fahadi Siraji / CCM Makao Makuu)







 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...