Mgeni rasmi Dkt. Donath Olomi akisoma hotuba kwenye Mahafali ya 10 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mwenyekiti wa Kamati ya shule ya Nyamata Academy, Salum Mkude akizungumza neno pamoja na kumkaribisha mgeni rasmi Dkt Donath Olomi wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Nyamata Academy akisoma hotuba pamoja na kutoa historia toka kuanzishwa kwa shule hiyo kwa mgeni rasmi Dkt Donath Olomi wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Wahitimu wa darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy wakifuatilia wakifuatilia hotuba ya mgeni rasmi Dkt Donath Olomi wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mhitimu wa Darasa la Saba Annacareen Chonya akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanaomaliza mbele ya mgeni rasmi Dkt Donath Olomi, viongozi wa Shule pamoja na wageni waalikwa wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Dada Mkuu wa Shule ya Nyamata Academy Wahida Kiduli akisoma risala kwa niaba ya wanafunzi wanaobaki mbele ya mgeni rasmi Dkt Donath Olomi, viongozi wa Shule pamoja na wageni waalikwa wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mgeni rasmi Dkt Donath Olomi kikabidi zawadi na vyeti kwa baadhi ya wahitimu waliofanya vizuri kwenye Masomo mbalimbali wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Wanafunzi wa shule ya Awali wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Wanafunzi wa shule ya Nyamata Academy wakitoa burudani wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Baadhi ya wageni waalikwa wakifuatilia Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Mgeni rasmi Dkt. Donath Olomi akizundua Mtambo wa kuchuja maji na kutibu maji wakati wa Mahafali ya 10 ya darasa la Saba ya shule ya Nyamata Academy pamoja na mahafali ya 12 ya Shule ya Awali yaliyofanyika tarehe 17 Septemba, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...