
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi mpira Paul Okumu ambaye ni Kipa wa timu ya soka ya Shule ya Sekondari Upili ya High Way jijini Nairobi Kenya wakati alipofungua mashindano ya Michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022. 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akikagua timu ya soka ya Shule ya Sikondari Upili ya High Way jijini Nairobi Kenya wakati alipofungua mashindano ya michezo ya Shule za Sekondari na Msingi kwa Nchi za Jumuiya ya Afrika ya Mashariki kwenye uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha, Septemba 18, 2022.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...