

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kushoto), akimsikiliza Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida alipokuwa akizungumzia masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia katika Kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia), akisalimiana na Balozi wa Ethiopia Nchini, Shibru Mamo Kedida, kabla ya mazungumzo yao kuhusu masuala mbalimbali ya ushirikiano kati ya Serikali ya Tanzania na Ethiopia, yaliyofanyika ofisi ndogo ya Wizara, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 22, 2022. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...