Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali kabla ya kufungua kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ulioanza leo Septemba 1, 2022.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na Balozi wa Uingereza nchini Tanzania Mhe. David Concar kabla ya kufungua kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ulioanza leo Septemba 1, 2022.
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis akiwa na Naibu Makatibu Wakuu Ofisi ya Makamu wa Rais Dkt. Switbert Mkama (Mazingira) na Bw. Abdallah Hassan Mitawi (Muungano) kabla ya kufunguliwa kwa Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa ulioanza leo Septemba 1, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiteta na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga kabla ya kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ulioanza leo Septemba 1, 2022.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwasili Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango ulioanza leo Septemba 1, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Switbert Mkama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...