
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein akiongoza Kikao cha Kamati Maalum cha Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 4-9-2022 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja na (kulia ) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi ambae pia ni Mumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)


WAJUMBE wa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Unguja wakati Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar (CCM) Mhe.Dk.Ali Mohamed Shein kuwasili katika ukumbi kwa ajili ya kuongoza Kikao hicho kilichofanyika leo 4-9-2022.(Picha na Ikulu)



Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...