Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Ndugu Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri
Kuu ya CCM kilichokutana Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba
Jijini Dar es Salaam tarehe 07 Septemba, 2022.
Viongozi
wakuu wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika Kikao cha Kamati Kuu ya
CCM Taifa chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan (katikati) katika ukumbi wa Ofisi ndogo
ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam leo.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania
bara,
Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana akimuelekeza jambo Katibu Mkuu wa
Chama hicho Daniel Chongolo wakati wa Kikao cha Kamati Kuu ya
Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana leo Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya
CCM Lumumba Jijini Dar es SalaamWajumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika kikao cha siku moja
kilichofanyika leo katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini
Dar es Salaam,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan
Wajumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa wakiwa katika kikao cha siku moja
katika ukumbi wa Ofisi ndogo ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam leo
(kutoka kulia) Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Hussein Ali Mwinyi,Waziri Mkuu wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Majaliwa Kassim Majaliwa,Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar
Mhe.Hemedi Suleiman Abdulla,Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Dkt.Tulia Ackson na Spika wa Baraza la Wawakilishi
Mhe.Zubeir Ali Maulid.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi @ccmtanzania na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Makamu Mwenyekiti
wa chama hicho Tanzania bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,Katibu
Mkuu Daniel Chongolo, Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe. Christina
Mndeme pamoja na Spika wa Bunge Mhe.Dkt Tulia Ackson mara baada ya
kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kilichokutana
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam leo
Septemba 7, 2022."Tanzania Salama na Samia"
Makamu
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (Zanzibar) Dkt. Ali Mohamed Shein
akiangalia picha zenye ujumbe maridhawa mara baada ya kumaliza Kikao Cha
Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kilichofanyika Ofisi Ndogo
ya CCM Lumumba jijini Dar Es Salaam.Makamu
Mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi Tanzania bara Kanali Mstaafu
Abdulrahman Kinana akifurahia jambo pamoja na Katibu Mkuu wa Chama hicho
Daniel Chongolo pamoja na Spika wa Bunge Mhe.Dkt Tulia Ackson mara
baada ya Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM kufanyika leo
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar es Salaam.
Mwenyekiti
wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mhe.Samia Suluhu Hassan akieleza jambo kwa Makamu Mwenyekiti wa chama
hicho Tanzania bara Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,Katibu Mkuu Daniel
Chongolo pamoja na Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara) Mhe. Christina
Mndeme mara baada ya kuongoza Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya
CCM kilichokutana Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Jijini Dar
es Salaam leo Septemba 7, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...