Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea funguo pamoja na nyaraka nyingine kutoka kwa Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche kama ishara ya kuwa na haki ya Ukaazi kwenye Manispaa hiyo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Maputo Mhe. Eneas Comiche pamoja na viongozi wengine wakiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kutembelea Ofisi hizo nchini Msumbiji tarehe 22 Septemba, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...