Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands ambaye aliambatana na Ujumbe wake Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Mtendaji Mkuu wa Global Fund Bw. Peter Sands baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam 06 Septemba, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...