Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi, wakati alipofika Ikulu Jijini Zanzibar leo akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 19/09/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akimsikiliza Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi, leo wakati wa mazungumzo yao alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake(hawapo pichani).[Picha na Ikulu] 19/09/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams (katikati), katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi wakati wa mazungumzo yao leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar akiwa na ujumbe wake.[Picha na Ikulu] 19/09/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia) akibadilishana mawazo na mgeni wake Balozi wa Austiralia Mhe.Luke Williams katika Nchi za Kenya,Rwanda na Tanzania,pia anawakilisha nchi yake Somalia na Burundi, mara baada ya mazungumzo leo alipofika Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] 19/09/2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...