Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Rais
na Mtendaji Mkuu wa JTI, Bw. Masamichi Terabatake, kwenye kikao
kilichofanyika katika ofisi za Japan Tobacco International (JTI)
zilizopo Kamiacho, jijini Tokyo Japan, Septemba 26.2022. Kutoka kushoto ni Meneja Mkuu wa Kampuni ya Sigara Tanzania (TCC), Bw. Takashi Araki, Mwenyekiti wa Bodi ya JTI, Bw. Mutsuo Iwai. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana Rais na Mtendaji Mkuu wa Japan Tobacco International (JTI) Bw. Masamichi Terabatake, baada ya kikao kilichofanyika katika ofisi hiyo, iliyopo Kamiacho, jijini Tokyo Japan, Septemba 26.2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...