Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mahandisi Hamadi Masauni wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jjiini Dar es salaam akitoka Tokyo Japan ambako alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Ngwilabuzu Ludigija. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...