Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akitazama mfano wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa mji huo  lilillopo Sejong kwa lengo la kupata uzoefu  utakaosaidi kuboresha  ujenzi unaoendelea wa Mji wa Serikali  Dodoma. Kushoto ni Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma, Meshack Bandawe. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Mratibu wa Ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma, Meshack Bandawe (kulia) wakizungumza na Msimamizi wa   Ujenzi wa  Mji Mpya wa Serikali ya Korea, Bw. Lee Sang Rae (katikati) wakati walipotembelea mji huo kwenye eneo la Sejong Oktoba 26, 2022 kwa lengo la kupata uzoefu  utakaosaidia kuboresha ujenzi unaoendelea wa Mji wa Serikali  Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
aziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Msimamizi wa   Ujenzi wa  Mji Mpya wa Serikali ya Korea, Bw. Lee Sang Rae (kushoto) kuteremka kwenye mnara uliomwezesha kuona eneo lote  la ujenzi wakati alipotembelea eneo la ujenzi wa mji huo lililopo Sejong, Oktoba 26, 2022 kwa lengo la kupata uzoefu  utakaosaidi kuboresha ujenzi unaoendelea wa mji wa serikali  Dodoma. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na ujumbe wake wakiwa katika picha ya pamoja na viongozi  wanaosimamia Ujenzi wa Mji Mpya wa Serikali ya Korea baada ya kuona eneo lote la ujenzi wa mji huo wakiwa kwenye mnara maalum, Oktoba 26, 2022. Mheshimiwa Majaliwa alitembelea Mji huo kwa lengo la kupata uzoefu utakaosaidi kuboresha ujenzi  unaoendelea wa Mji wa Serikali jijini Dodoma, Oktoba 26, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...