
Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu akiweka mchanga kwenye kaburi la aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani (CCM) Mhe. Mussa Hassan Mussa katika mazishi yaliyofanyika Kijijini kwao Bwejuu, Zanzibar

Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Mussa Azzan Zungu (kushoto) akishiriki katika mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Amani (CCM) Mhe. Mussa Hassan Mussa yaliyofanyika Kijijini kwao Bwejuu, Zanzibar. Wapili kushoto Ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Rais Mstaafu wa Zanzibar wa awamu ya Saba Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein na Rais Mstaafu wa awamu ya sita wa Zanzibar Mhe. Amani Abeid Karume.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...