Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Alhaj Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mbunge wa Mchinga Hajjat Salma Kikwete wakiangalia ukumbi mpya wa mikutano wa Msikiti Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wa Mohamed wa Sita Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Alhaj Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mkewe Mbunge wa Mchinga Hajjat Salma Kikwete wakipata picha ya kumbukumbu na viongozi waandamizi wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA wa Mohamed wa Sita Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Alhaj Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na waumini wenzie wakisikiliza mawaidha baada ya Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wa Mohamed wa Sita Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Alhaj Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa katika maktaba katika jengo la ukumbi mpya wa mikutano wa Msikiti Mkuu wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) wa Mohamed wa Sita Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam baada ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa.
Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Alhaj Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na viongozi waandamizi wa Baraza la Waislamu Tanzania (BAKWATA) baada ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA wa Mohamed wa Sita Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.
Mbunge wa Mchinga Hajjat Salma Kikwete akipata picha ya kumbukumbu na baadhi ya waumini wenzie baada ya kuhudhuria Swala ya Ijumaa katika Msikiti Mkuu wa BAKWATA wa Mohamed wa Sita Kinondoni Muslim jijini Dar es salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...