Rais wa Jamhuri Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu katika Baraza la Maulid la kusherehekea mazazi ya Mtume Muhammad (S.A.W).
Viongozi mbalimbali pamoja na Waumini wa Dini ya Kiislamu wakiwa kwenye Baraza la Maulid kusherehekea mazazi ya Mtume Muhammad (S.A.W) ambalo Kitaifa limefanyika katika ukumbi wa Diamond Jubilee Jijini Dar es Salaam tarehe 09 Oktoba, 2022. 

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akiagana na Viongozi mbalimbali akiwemo Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania Dkt. Sheikh Abubakar Zubeir bin Ally Mbwana mara baada ya kumalizika kwa Baraza la Kitaifa la Maulid katika ukumbi wa Diamond Jubilee.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...