Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipokea
Mwenge wa Uhuru kutoka kwa Kiongozi wa mbio hizo Kitaifa Sahil Geraruma
katika Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo Kitaifa
yamefanyika kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14
Oktoba, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza
na viongozi mbalimbali pamoja na Wananchi wa Mkoa wa Kagera katika
Maadhimisho ya Kilele cha mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo yamefanyika
kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwapungia
mkono wananchi wakati akiwasili kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani
Kagera kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge
wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani humo tarehe 14 Oktoba, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivalishwa
Skafu na Vijana wa Skauti mara baada ya kuwasili katika uwanja wa
Kaitaba kwa ajili ya kushiriki Maadhimisho ya Kilele cha Mbio za Mwenge
wa Uhuru ambayo Kitaifa yamefanyika Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba,
2022.
Vijana
wa Halaiki wakitumbuiza kwa kuonesha kazi mbalimbali katika Kilele cha
Maadhimisho ya Mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo yamefanyika kwenye uwanja
wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitoa
vyeti kwa wakimbiza mwenge Kitaifa katika kilele cha mbio za Mwenge
mkoani Kagera tarehe 14 Oktoba, 2022.
Viongozi
mbalimbali wakiwa kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera kwenye
Maadhimisho ya Kilele cha Maadhimisho ya mbio za Mwenge wa Uhuru ambayo
yamefanyika kwenye uwanja wa Kaitaba, Bukoba Mkoani Kagera tarehe 14
Oktoba, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...