Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.




Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimuelekeza jambo Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China Mhe. Chen Mingjian kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam tarehe 01 Oktoba, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...