
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa mmoja wa wachangiaji Wakuu wa
mada mbalimbali katika siku ya pili ya Mkutano wa Ubunifu wa Afya
Duniani (World Innovation Summit for Health) unaofanyika Doha nchini
Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akitembelea Hospitali ya Sidra ambayo inatoa huduma za matibabu ya kibingwa kwa Mama na Mtoto na kujionea utendaji kazi wa Kituo cha utafiti wa Kisayansi kuhusu masuala mbalimbali ya Kiafya, Doha nchini Qatar tarehe 05 Oktoba, 2022.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...