Spika wa Bunge, Mhe. Dkt. Tulia Ackson akiongoza kikao cha kamati ya uongozi cha kupokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge leo tarehe 31 Oktoba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma.
Katibu wa Bunge, Ndg. Nenelwa mwihambi, ndc akishiriki katika kikao cha kamati ya uongozi cha kupokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge leo tarehe 31 Oktoba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma. Kulia ni Mwenyekiti wa kamati ya Haki, Maadili na Madaraka ya Bunge, Mhe. Emmanuel Mwakilasa
Wajumbe wa kamati ya uongozi ya Bunge wakiwa katika kikao cha kamati hiyo cha kupokea na kujadili Mapendekezo ya Ratiba ya Mkutano wa Tisa wa Bunge leo tarehe 31 Oktoba, 2022 Bungeni Jijini Dodoma. Kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa kamati ya katibu na Sheria, Mhe. Joseph Mhagama na Makamu Mwenyekiti wa kamati ya Hesabu za Serikali, Mhe. Japhet Hassunga.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...