Mabingwa wa NMB Marathon KM21 mwaka huu kwa wanaume na wanawake ni mtu na mkewe - Faraja Lazarus na Magdalena Shauri
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa CCBRT Brenda Msangi akimshukuru Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna kwa kufanikisha jambo lao la kukusanya Tsh milioni 600 kwa ajili kinamama wenye changamoto za FISTULA kupitia Mwendo wa Upendo wa NMB Marathon 2022.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...