WANAFUNZI wa Chekechea katika Shule ya Joyland Schools iliyopo Kibada, Kigamboni, wakicheza ngoma ya asli wakati wa sherehe za maafali ya kuwaaga Grade one, Darasa la saba na Kidato cha Nne yaliyofanyika shuleni hapo jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Muhidin Sufiani)
WANAFUNZI wa Chekechea katika Shule ya Joyland Schools iliyopo Kibada, Kigamboni, Leonald Mbogoma, akipiga kinanda kuwachezesha wenzake wimbo wa zilipendwa wakati wa sherehe za maafali ya kuwaaga Grade one, Darasa la saba na Kidato cha Nne yaliyofanyika shuleni hapo Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam, mwishoni mwa wiki. (Picha na Muhidin Sufiani)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...