TAASISI isiyo ya Kiserikali ya Dira Women Organisation (DIWO) imefunga mafunzo ya "Kijana Amka Sasa na Diwo Training."

Mafunzo hayo waliahirikiana na chuo cha ufundi stadi Veta Tanga, Yalishirikisha vijana 120 Vijana 60 walisoma usindikaji wa matunda na mboga mboga pamoja na ujasiliamali. Kati ya vijana 60. 15 walitoka kwenye mfumo wa elimu usio rasmi kutoka kata ya kicheba.

Wengine 60 walisoma, housekeeping, huduma kwa wateja Pamoja na life skills. Vijana 50 wametoka katika shule ya Sekondari na vijana 10 ni vijana toka kata ya Kicheba.

Yalifungwa na mkuu wa Wilaya ya Muheza bi Halima Bulembo.

Muwakilishi wa Afisa maendeleo, Afisa Kilimo, mratibu kata, diwani kata ya Kicheba, Hamisi Mkodingo, mwenyekiti wa kijiji Kicheba A na B. Watendaji na viongozi wa CCM kata.

Pia Mkuu wa wilaya ya Muheza Halima Bulembo aliipongeza taasisi ya Dira Women Organisation (DIWO) alisema hata serikali ina mpango wa kuwapa wanafunzi elimu ya ziadi hivyo aliipongeza na kusema wameitangulia serikali na pia alimshukuru mfadhili toka taasisi ya Josef Vogt toka ujerumani.

"Nafurahia sana kuona vijana wanapopata maendeleo hasa upande wa elimu iliyo rasmi."

Waliohidhuria ni Mkuu wa Wilaya, Kaimu Mkurugenzi, Afisa Elimu Secondary, Afisa Elimu wenye uhitaji maalumu,

Mkuu wa wilaya ya Muheza Halima Bulembo akizugumza wakati wa kufunga mafunzo kwa wa

Mmoja ya Vijana waliopata mafunzo wakitoa maelezo kwa wageni walio watembelea katika eneo la Mafunzo.

Keki iliyotengeneza na waliopata Mafunzo na DIWO ikikatwa.




HABARI, JAMII

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...