Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania Charles Asiedu akizungumza kuhusu Benki hiyo inavyorudisha kwa jamii pamoja na kutoa mikomo  kwa wanawake pamoja na kutoa Elimu kwa wanawake  wajasiriamali wakati wa mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyofanyika kei kwenye siku ya Ecobank.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust , Vida Nasari Mndolwa akizungumza namna ya Taasisi hiyo ilivyowainua wanawake wengi kiuchumi hasa kiwajengea uwezo katika Biashara wakati wa Ecobank ilipokuwa inatoa mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyofanyika kei kwenye siku ya Ecobank.
Mkuu wa kitengo cha Masoko, Mawasiliano na Huduma kwa Wateja wa Ecobank Tanzania, Furaha Samalu akizungumzia kazi zinazofanywa na Banki hiyo wakati wa mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyofanyika Leo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya Ecobank.
Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania Charles Asiedu(kulia) akisikiliza kwa umakini swali la Mjasiriamali Elizabert Mleli alipokuwa anauliza kuhusu namna wanavyowasaidia wajasiriamali kupewa mikopo kwa riba nafuu wakati wa mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyofanyika Leo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya Ecobank.
Mjasiriamali Deborah Mndeme akichangia mada kwenye mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyoandaliwa na Ecobank Tanzania na kifanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya Ecobank
Mjasiriamali Grace Makani Tarimo akitoa maoni yake kuhusu kazi zinazofanywa na Benki ya Ecobank Tanzania na namna wanavyoweza kuwainua wanawake ambao ni Wafanyabiashara ili kufika kwenye Biashara kubwa kwa kuwapa mikopo nafuu wakati wa mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyoandaliwa na Ecobank Tanzania na kifanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya Ecobank
Mkufunzi kutoka Kampuni ya TAPBDS, Joseph Migunda akitoa mafunzo kwa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust yaliyoandaliwa na Ecobank Tanzania na mafunzo hayo yamefanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni maadhimisho ya siku ya Ecobank
Baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust wakifuatilia mada kwenye mafunzo yaliyoandaliwa na Ecobank Tanzania na kufanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya Ecobank
Mkurugenzi Mkuu wa Ecobank Tanzania Charles Asiedu, Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust , Vida Nasari Mndolwa, Mkuu wa kitengo cha Masoko na Mawasiliano Ecobank Tanzania, Furaha Samalu  wakiwa kwenye picha ya pamoja na baadhi ya wanachama wa Jumuiya ya Wanawake Wafanyabiashara Chapter ya Tanzania ya Grace Machel Trust wakati wa mafunzo yaliyoandaliwa na Ecobank Tanzania na kufanyika leo jijini Dar es salaam ikiwa ni siku ya Ecobank

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...