Mkuu wa Jeshi la POLISI, IGP Camillus Wambura, akiwa na Ujumbe alioambatana nao kutoka Tanzania, ameendelea na ziara yake ya kikazi nchini Thailand Kwa kutembelea Kituo cha Simu za Dharura kilichopo Jijini Bangkok kinachohusika na kupokea, kuchakata na kusambaza taarifa za Uhalifu.





Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...