Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma,
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoongoza Kikao Kazi cha Mawaziri na Naibu Mawaziri kwenye ukumbi wa Hazina jijini Dodoma, Novemba 8, 2022. Kushoto kwake ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge na Uratibu, George Simbachawene na kushoto kwake ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt, John Jingu. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...