Na Mwandishi Wetu, Kilosa
KAZI
wa Magulu, wilayani Kilosa, mkoani Morogoro, Bahati Rajabu Ally,
amefanikiwa kupenya kwenye duara la Bongebonasi ya mchezo wa kubashiri
matokeo ya michezo mbalimbali ya bikosports kwa kushinda sh milioni 8.
Akizungumzia
ushindi wake, Ally anayejishughulisha na kilimo, alisema fedha zake
hizo zitamsaidia katika gurudumu la maisha yake, sanjari na kuwekeza
kwenye kilimo kwa ujumla.
Alisema amepata fedha zake za bikosports bila usumbufu wowote, jambo linaloufanya mchezo huo uwe na tija kwa Watanzania wote.
“Niliweka
mkeka wa Bikosports nikashinda sh Milioni 8 ambazo zimekuja wakati
ambao nazihitaji fedha hizi kwa ajili ya kurahisisha maisha yangu ya
kila siku.
“Naomba Watanzania wenzangu nao wabashiri matokeo ya
michezo kwa kupitia bikosports ili nao wavune fedha kama nilivyoshinda
mimi, ambao unapokea ushindi wako mara baada ya mkeka wako kutiki, huku
namba yangu ya kampuni ikiwa ni 101010.
Watanzania wanaweza kubeti moja kwa moja kwa kupitia mtandao ambao ni kwa www.bikosports.co.tz bila kusahau wanaobeti kwa kwa kucheza *149*89# ambapo namba ya kampuni ni 101010 na kutoa nafasi kubwa kwa watu wote kubashiri na kupata ushindi kwa asilimis kubwa nchini.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...