Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) ulishiriki katika Maonesho ya Utalii Karibu Kusini yaliyofanyika katika viwanja vya Kihesa Kilolo mkoani Iringa, maonesho hayo yalifungwa na Mgeni Rasmi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud.
NSSF ilitumia maonesho haya kwa ajili ya kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa sekta binafsi na sekta isiyo rasmi,kuandikisha wanachama, kusikiliza na kutatua kero za wanachama.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...