Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha ya pamoja na viongozi Wakuu wa nchi mbalimbali kabla ya kuanza kwa Mkutano wa kujadili mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaofanyika katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Rais wa Malawi Mhe. Lazarus Chakwera katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh International Congress Centre



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali wanaohudhuria mkutano wa  27 wa nchi Wanachama wa Mkataba wa Umoja wa Mataifa kuhusu mabadiliko ya Tabianchi COP27 unaoendelea katika Mji wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.

 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa katika picha na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi (kushoto) pamoja na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres (kulia) mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa COP27 unaofanyika katika Mji huo nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Misri Abdel Fattah El Sisi mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Kimataifa wa Mikutano wa Sharm El Sheikh nchini Misri tarehe 07 Novemba, 2022.

 

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...