Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ally Mwinyi akizungumza wakati akifungua Kongamano la 26 la Tafiti lilioandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi ya Utafiti ya REPOA na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar jana. Wadau kutoka sekta mbalimbali za maendeleo ndani na nje ya nchi wameshiriki kongamano hilo.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya REPOA, Dkt. Donald Mmari akizungumza wakati ufunguzi wa Kongamano la 26 la Tafiti lilioandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi hiyo na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar jana. Wadau kutoka sekta mbalimbali za maendeleo ndani na nje ya nchi wameshiriki kongamano hilo.
Rais wa Zanzibar, Mhe. Dkt. Hussein Ally Mwinyi akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Utafiti ya REPOA, Dkt. Donald Mmari wakati ufunguzi wa Kongamano la 26 la Tafiti lilioandaliwa kwa ushirikiano wa Taasisi hiyo na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip, Zanzibar jana.

Sehemu ya Wadau kutoka sekta mbalimbali za maendeleo ndani na nje ya nchi wakifatilia kongamano hilo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...