WIKI ya nne ya droo ya Dabodabo kutoka 888 bet Tanzania imekuja kipekee Zaidi baada ya Bi Shama Kihampa kutoka Mikocheni kuondoka na Tv ya inchi 65. Bi Shama amekua kati ya washindi wa wiki ya nne ambapo wenzake wamejishindia simu janja na pikipiki.
Akikabidhi zawadi hiyo, balozi wa 888 bet Maulid Kitenge, ameonesha kufurahishwa na ushindi wa Bi Shama ambaye anakua mwanamke wa kwanza kujishindia zawadi toka droo hiyo ya Dabodabo ianze.
“Ushindi wa Bi Shama unaonesha kuwa sasa michezo ya kubashiri inazidi kushika kasi na inazidi kukubalika katika jamii, hii ni motisha kwa wanawake na mabinti wote ambao walidhani michezo hii ni kwaajili ya wanaume tu.” Alisema Bwana Maulid kwa furaha. “888 bet wametoa fursa hii kwa watanzania wote, haijalishi jinsia, kama una umri wa miaka 18 na kuendelea jukwaa ni lako kujaribu bahati yako leo. Tembelea www.888bet.tz na uweke mkeka wako, zimebaki wiki mbili lakini zawadi ni nyingi sana na hapo bado kuna zawadi kubwa ya milioni 100!”
Kwa wiki nne sasa 888 bet kupitia droo yake ya Dabodabo, wamekua wakitoa zawadi za pikipiki, simu janja tatu na Tv ya inchi 65 kila wiki. Droo hiyo itafikia tamati wiki ya saba ambapo atatangazwa mshindi wa zawadi kubwa ya kitita cha shilingi milioni 100! Tofauti na kampuni nyingine za kubashiri, 888bet inakupa zawadi kwa kuweka ubashiri tu, bila kujali kuwa ubashiri wako umefanikiwa ama la. Nafasi yako ya ushindi inaongezeka unapobashiri zaidi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...