NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mhe.Mgeni Hassan Juma (wa pili kulia) alipokuwa akikabidhi mashine ya Boti pamoja na Boti yake kwa Mwenyekiti wa Kikindi cha "Flower Group" Bibi Zuwena Talib Suleiman(kulia) kwa niaba ya vikundi vya kijiji cha Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja vilivyotolewa na Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF".[Picha na Ikulu] 08/11/2022.


Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" kwa niaba yake " Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mhe.Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akiwakabidhi Boti wananchi wa vikundi vya Kilimo cha mwani wa Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja katika ziara ya inayoendelea kugawa vifaa kama hivyo kwa Mikoa ya Unguja.[Picha na Ikulu] 08/11/2022.

NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mhe.Mgeni Hassan Juma (wa pili kushoto) akimuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" akimkabidhi Mwenyekiti wa Kikindi cha "Flower Group" Bibi Zuwena Talib Suleiman kwa niaba ya vikundi vya kijiji cha Muungoni akipokea Vifaa mbali mbali vya kilimo cha mwani hafla iliyofanyika leo maeneo ya ufukwe wa pwani ya Muungoni.[Picha na Ikulu] 08/11/2022.
NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mhe.Mgeni Hassan Juma alipokuwa akitoa hutuba wakati alipomuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" katika ugawaji wa Vifaa vya Kilimo cha mwani Kijiji cha Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 08/11/2022.
NAIBU Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar pia Mjumbe wa Bodi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" Mhe.Mgeni Hassan Juma alipokuwa akitoa hutuba wakati alipomuwakilisha Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi pia Mwenyekiti wa Taasisi ya Zanzibar Maisha Bora Foundation "ZMBF" katika ugawaji wa Vifaa vya Kilimo cha mwani Kijiji cha Muungoni Wilaya ya Kusini Unguja leo.[Picha na Ikulu] 08/11/2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...