Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. Philip Mpango akikabidhi Tuzo za 16 za Rais za wazalishaji bora wa Viwandani (PMAYA), kwa mshindi wa jumla ya wazalishaji bora wa mwaka 2021 kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Tanga Cement wazalishaji wa Simba Cement (TCPLC), Reinhardt Swart,wakati wa hafla iliyoandaliwa na na Shirikisho la Viwanda Tanzania (CTI) jijini Dar es Salaam Tanga cement iliibuka kidedea kwa kuwa mshndi wa jumla na kuwa mzalishaji Bora wengine pichani ni Maofisa kutoka Tanga Cement
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
.jpg)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...