
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akiongoza kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, jijini Dodoma, leo Noivemba 18, 2022. Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini, na watatu kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (katikati) akiongoza kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji inayoshughulikia masuala ya Kiutumishi na Kiutendaji wa Askari katika Majeshi hayo, jijini Dodoma, leo Noivemba 18, 2022. Watatu kulia ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Jumanne Sagini, na watatu kushoto ni Kaimu Katibu Mkuu, Dkt. Maduhu Kazi.

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimuapisha Mkurugenzi Msaidizi wa Usimamizi wa Rasilimaliwatu wa Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, Mohamed Haji Hassan, kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume hiyo katika Kikao kilichofanyika jijini Dodoma,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji, Peter Mabusi kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, katika Kikao kilichofanyika jijini Dodoma,

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Magereza, Joe Matani kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, katika Kikao kilichofanyika jijini Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Polisi, Issaya Mwanga kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, katika Kikao kilichofanyika jijini Dodoma

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni (kulia) akimuapisha Afisa wa Jeshi la Uhamiaji, Hafidhi Idrissa kuwa Mjumbe wa Sekretarieti ya Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, katika Kikao kilichofanyika jijini Dodoma,

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi (kulia) akimfafanulia jambo Mkurugenzi wa Utawala na Usimamizi wa Rasilimaliwatu, Miriam Mmbaga, wakati walipokuwa wanapitia nyaraka mbalimbali za Kikao cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, kilichofanyika jijini Dodoma

Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Dkt. Maduhu Kazi (kulia) akizungumza katika cha Tume ya Utumishi ya Jeshi la Polisi, Magereza, Zimamoto na Uokoaji na Uhamiaji, kilichofanyika jijini Dodoma, leo. Kulia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi na Mwenyekiti wa Kikao hicho, Mhandisi Hamad Masauni. Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...