

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi, kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall, Disemba 12, 2022. Kushoto ni Naibu Waziri, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange.




Watumishi wa Halmashauri za Mpanda, Nsimbo na Tanganyika Mkoani Katavi wakimsikiliza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa wakati alipozungumza nao kwenye ukumbi wa Mpanda Social Hall (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...