Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Mwenyekiti wa CCM Taifa pamoja na Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Tanzania Bara katika Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama Cha Mapinduzi CCM katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini DodomaMwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022. Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM)Taifa ambae pia ni Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga kura kuchagua Wajumbe katika ngazi ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa kwenye Mkutano wa 10 wa Chama cha Mapinduzi CCM uliofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.

Baadhi ya Viongozi pamoja na Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM wakiwa kwenye Mkutano Mkuu wa 10 wa Chama hicho uliofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma tarehe 07 Desemba, 2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...