MKUU wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee akiwa na Wafanyakazi wa Ofisi ya RC Mara pamoja na Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama katika hafla ya kuwasilisha mchango wa hali na mali ambao uliwezesha kutoa mkono wa Sikukuu ya Kristmas kwa watu wenye uhitaji jana Desemba 24, 2022 mjini Musoma, ambapo, RC Mzee amewashukru Wadau wote waliojitolea.


Baadhi ya Viongozi wa Kamati ya Usalama Mkoa wa Mara, Wafanyakazi kutoka Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Mara pamoja na Wadau walioambatana na MKUU wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee katika kutoa mkono wa sikukuu ya Kristmas kwa watu wenye uhitaji jana Desemba 24, 2022 mjini Musoma.

MKUU wa Mkoa wa Mara Meja Jenerali Suleiman Mzee akiwa amembeba mmoja wa watoto wenye uhitaji kutoka katika vituo vya Manispaa ya Musoma baada kuwasilisha mchango wa hali na mali uliowezesha kutoa mkono wa Sikukuu ya Kristmas kwa watu wenye uhitaji jana Desemba 24, 2022 mjini Musoma.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...