Wakandarasi wa Kampuni ya DIEYNEM CO LTD Mkurugenzi Mkuu Maulid Ngaiwa wa pili kushoto na Katibu wa Kampuni Novatus Lyimo wakishuhudia wakati Mkurugenzi Mkuu REA Mha. Hassan Saidy akisaini Mkataba na kampuni hiyo katika hafla ya kusaini mikataba ya Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu kwa wakandarasi mbalimbali walioshinda zabuni ambao utapeleka umeme kwenye maeneo 416 katika mikoa 8 ya Mtwara, Singida, Mbeya, Geita, Tabora , Kagera, Kigoma na Tanga yenye thamani ya shilingi bilioni 76.9 tarehe 19 Desemba, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam.

Waziri wa Nishati Mhe. January Makamba akizungumza na wakandarasi wakati wa hafla ya kusaini mikataba ya Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu ambao utapeleka umeme kwenye maeneo 416 katika mikoa 8 ya Mtwara, Singida, Mbeya, Geita, Tabora , Kagera, Kigoma na Tanga yenye thamani ya shilingi bilioni 76.9 tarehe 19 Desemba, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam.


Viongozi wa Wizara ya Nishati wakimsikiliza Mkurugenzi Mkuu REA wakati wa hafla kusaini mikataba ya Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu ambao utapeleka umeme kwenye maeneo 416 katika mikoa 8 ya Mtwara, Singida, Mbeya, Geita, Tabora , Kagera, Kigoma na Tanga yenye thamani ya shilingi bilioni 76.9 tarehe 19 Desemba, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam.

Kushoto kwa Waziri Makamba, ni Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato na kulia kwake ni Katibu Mkuu Wizara ya Nishati, Mha. Felchesmi Mramba akifuatiwa na Naibu Katibu Mkuu Kheri Mahimbali.Aliye katika Meza ya kuzungumzia, ni Mkurugenzi Mkuu wa REA Mha. Hassan Saidy
Mkurugenzi Mkuu wa REA Mha. Hassan Saidy akizungumza na Wakandarasi wakati wa hafla kusaini mikataba ya Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu ambao utapeleka umeme kwenye maeneo 416 katika mikoa 8 ya Mtwara, Singida, Mbeya, Geita, Tabora , Kagera, Kigoma na Tanga yenye thamani ya shilingi bilioni 76.9 tarehe 19 Desemba, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam.





Wakandarasi wa Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu wakifuatilia kwa makini hotuba ya Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ( Hayumo Pichani) wakati wa hafla ya kusaini mikataba ya Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu ambao utapeleka umeme kwenye maeneo 416 katika mikoa 8 ya Mtwara, Singida, Mbeya, Geita, Tabora , Kagera, Kigoma na Tanga yenye thamani ya shilingi bilioni 76.9 tarehe 19 Desemba, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam.


Viongozi mbalimbali kutoka Wizara ya Nishati na REA wakifuatilia hotuba ya Waziri wa Nishati wakati wa Hafla ya kusaini mikataba ya Mradi wa Peri Urban awamu ya tatu ambao utapeleka umeme kwenye maeneo 416 katika mikoa 8 ya Mtwara, Singida, Mbeya, Geita, Tabora , Kagera, Kigoma na Tanga yenye thamani ya shilingi bilioni 76.9 tarehe 19 Desemba, 2022 kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Julius Nyerere jijini Dar-es-salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...