Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim (Katikati) wakati alipomtembelea nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. Kushoto ni Ahmed Salim ambaye ni Mtoto wa Dkt. Salim (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

Waziri  Mkuu Kassim Majaliwa akisalimiana na Ahmed Salim ambaye mtoto wa  Waziri Mkuu Mstaafu, Dkt. Salim Ahmed Salim wakati alipomtembelea Waziri Mkuu huyo Mstaafu nyumbani kwake Oysterbay, jijini Dar es salaam Disemba 27, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...