Waziri Mkuu Mheshimiwa Kassim Majaliwa, akisalimiana na Katibu Mkuu Ikulu (Utawala, fedha na Urithi) Bi. Maria Auxiliandora Fragoso Pascoal, mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Luanda Nchini Angola ambako atamuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa 10 wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Jumuiaya ya Nchi za Afrika, Karibian na Pasifiki (OACPS). Leo tarehe 9.12.2022.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...